Exodus 37:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Viumbe hivyo vilikuwa vimeelekeana, mabawa yao yamekunjuliwa kukifunika kifuniko cha sanduku; nyuso zao zilikielekea kifuniko cha sanduku.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Makerubi hao walikuwa wametandaza mabawa kuelekea juu, wakitia kivuli hicho kifuniko. Makerubi hao walielekeana, wakitazama hicho kifuniko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hayo makerubi yakayanyosha mabawa yao juu, na kukifunika hicho kiti cha rehema kwa mabawa yao, na nyuso zao zilikuwa zaelekeana hili na hili; nyuso za hayo makerubi zilikuwa zikielekea kiti cha rehema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Viumbe hivyo vilikuwa vimeelekeana, mabawa yao yamekunjuliwa kukifunika kifuniko cha sanduku; nyuso zao zilikielekea kifuniko cha sanduku.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mabawa ya makerubi yalikuwa yaliyokunjuliwa kuelekea juu, yakitilia kifuniko uvuli. Makerubi yalielekeana, yakitazama kuelekea kifuniko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Makerubi hao walikuwa wametandaza mabawa kuelekea juu, wakitia kivuli hicho kifuniko. Makerubi hao walielekeana, wakitazama hicho kifuniko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hayo makerubi yakayanyosha mabawa yao juu, na kukifunika hicho kiti cha rehema kwa mabawa yao, na nyuso zao zilikuwa zaelekeana hili kwa hili; nyuso za hayo makerubi zilikuwa zikielekea kiti cha rehema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Viumbe hivyo vilikuwa vimeelekeana, mabawa yao yamekunjuliwa kukifunika kifuniko cha sanduku; nyuso zao zilikielekea kifuniko cha sanduku.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo Makerubi yalikuwa yameyakunjua mabawa juu yakikifunika Kiti cha Upozi kwa mabawa yao, nazo nyuso zao zilikuwa zimeelekeana, hayo Makerubi yakikitazama Kiti cha Upozi kwa nyuso zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hayo makerubi yakayanyosha mabawa yao juu, na kukifunika hicho kiti cha rehema kwa mabawa yao, na nyuso zao zilikuwa zaelekeana hili na hili; nyuso za hayo makerubi zilikuwa zikielekea kiti cha rehema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Makerubi wale walikuwa wakielekeana, mabawa yao yakikunjuliwa na kukifunika kifuniko cha sanduku, nyuso zao zilikielekea kifuniko cha sanduku.