Exodus 38:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitengeneza madhabahu kwa ajili ya sadaka za kuteketezwa. Madhabahu hiyo ilikuwa ya mraba, mita mbili na robo kwa mita 2.25, na kimo chake mita 1.25.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatengeneza madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa kwa mbao za mti wa mshita, kimo chake dhiraa tatu; nayo ilikuwa mraba, urefu wake dhiraa tano, na upana wa dhiraa tano.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akafanya hiyo madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa, ya mti wa mshita urefu wake ulikuwa dhiraa tano, na upana wake ulikuwa dhiraa tano, ilikuwa mraba; na kwenda juu kwake kulikuwa dhiraa tatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitengeneza madhabahu kwa ajili ya sadaka za kuteketezwa. Madhabahu hiyo ilikuwa ya mraba, mita mbili na robo kwa mita 2.25, na kimo chake mita 1.25.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatengeneza madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa kwa mbao za mti wa mshita, kimo chake dhiraa tatu; nayo ilikuwa mraba, urefu wake dhiraa tano na upana wa dhiraa tano.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatengeneza madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa kwa mbao za mti wa mshita, kimo chake dhiraa tatu; nayo ilikuwa mraba, urefu wake dhiraa tano, na upana wa dhiraa tano.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akafanya hiyo madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa, ya mti wa mshita urefu wake ulikuwa dhiraa tano, na upana wake ulikuwa dhiraa tano, ilikuwa mraba; na kwenda juu kwake kulikuwa dhiraa tatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitengeneza madhabahu kwa ajili ya sadaka za kuteketezwa. Madhabahu hiyo ilikuwa ya mraba, mita mbili na robo kwa mita 2.25, na kimo chake mita 1.25.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akatengeneza kwa mbao za migunga meza ya kuteketezea ng'ome za tambiko; urefu wake ulikuwa mikono mitano, nao upana wake ulikuwa mikono mitano, pande zote nne zilikuwa sawa; nao urefu wake wa kwenda juu ulikuwa mikono mitatu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akafanya hiyo madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa, ya mti wa mshita urefu wake ulikuwa dhiraa tano, na upana wake ulikuwa dhiraa tano, ilikuwa mraba; na kwenda juu kwake kulikuwa dhiraa tatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akatengeneza mazabahu kwa ajili ya sadaka za kuteketezwa kwa moto. Mazabahu hiyo ilikuwa ya muraba, metre mbili na sentimetre makumi mbili kwa metre mbili na sentimetre makumi mbili, na urefu kwenda juu metre moja na sentimetre makumi mbili.