Exodus 38:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
navyo vilishikiliwa na nguzo ishirini za shaba zenye vikalio ishirini vya shaba. Lakini kulabu za nguzo hizo na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
pamoja na nguzo ishirini na vitako vya shaba ishirini, na kulabu na tepe za fedha juu ya hizo nguzo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nguzo zake zilikuwa ishirini, na matako yake yalikuwa ishirini, yalikuwa ya shaba; kulabu za nguzo na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
navyo vilishikiliwa na nguzo ishirini za shaba zenye vikalio ishirini vya shaba. Lakini kulabu za nguzo hizo na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wenye nguzo ishirini na vitako ishirini vya shaba, pia zilikuwa na kulabu za fedha na tepe za fedha juu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
pamoja na nguzo ishirini na vitako vya shaba ishirini, na kulabu na tepe za fedha juu ya hizo nguzo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nguzo zake zilikuwa ishirini, na vitako vyake vilikuwa ishirini, vilikuwa vya shaba; kulabu za nguzo na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
navyo vilishikiliwa na nguzo ishirini za shaba zenye vikalio ishirini vya shaba. Lakini kulabu za nguzo hizo na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nguzo zao ishirini zilikuwa zenye miguu ishirini ya shaba, lakini vifungo vya nguzo na vijiti vyao vya kuziungia juu vilikuwa vya fedha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nguzo zake zilikuwa ishirini, na matako yake yalikuwa ishirini, yalikuwa ya shaba; kulabu za nguzo na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nayo yalishikiliwa na nguzo makumi mbili za shaba zenye vikalio makumi mbili vya shaba. Lakini vifungio vya nguzo hizo na kamba zake vilikuwa vya feza.