Exodus 38:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Upande wa kaskazini urefu wa chandarua ulikuwa mita 44, na nguzo zake 20 za shaba, lakini kulabu za nguzo hizo na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Upande wa kaskazini ulikuwa na urefu wa dhiraa mia moja, pamoja na nguzo ishirini na vitako vya shaba ishirini, pamoja na kulabu na tepe za fedha juu ya hizo nguzo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Upande wa kaskazini ulikuwa ni dhiraa mia vivyo, nguzo zake ishirini na matako yake ishirini, yalikuwa ni ya shaba; kulabu za nguzo na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Upande wa kaskazini urefu wa chandarua ulikuwa mita 44, na nguzo zake 20 za shaba, lakini kulabu za nguzo hizo na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Upande wa kaskazini ulikuwa pia na urefu wa dhiraa mia moja, na ulikuwa na wenye nguzo ishirini na vitako ishirini vya shaba, pamoja na kulabu za fedha na tepe za fedha juu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Upande wa kaskazini ulikuwa na urefu wa dhiraa mia moja, pamoja na nguzo ishirini na vitako vya shaba ishirini, pamoja na kulabu na tepe za fedha juu ya hizo nguzo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Upande wa kaskazini ulikuwa ni dhiraa mia moja vivyo hivyo, nguzo zake ishirini na vitako vyake ishirini, vilikuwa ni vya shaba; kulabu za nguzo na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Upande wa kaskazini urefu wa chandarua ulikuwa mita 44, na nguzo zake 20 za shaba, lakini kulabu za nguzo hizo na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata upande wa kaskazini ulikuwa vivyo hivyo: nguo zilikuwa zenye urefu wa mikono mia, nazo nguzo zao ishirini zilikuwa zenye miguu ishirini ya shaba, lakini vifungo vya nguzo na vijiti vyao vya kuziungia juu vilikuwa vya fedha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Upande wa kaskazini ulikuwa ni dhiraa mia vivyo, nguzo zake ishirini na matako yake ishirini, yalikuwa ni ya shaba; kulabu za nguzo na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Upande wa kaskazini urefu wa pazia ulikuwa metre makumi ine na ine, na nguzo zake makumi mbili za shaba, lakini vifungio vya nguzo hizo na kamba zake vilikuwa vya feza.