Exodus 38:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Upande wa mashariki, kulikokuwa na mlango, ulikuwa na upana wa mita 22.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Upande wa mwisho wa mashariki jua linakochomoza, pia ulikuwa na upana wa dhiraa hamsini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Upande wa mashariki kuelekea mashariki dhiraa hamsini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Upande wa mashariki, kulikokuwa na mlango, ulikuwa na upana wa mita 22.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Upande wa mwisho wa mashariki linakotokea jua, pia kulikuwa na upana wa dhiraa hamsini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Upande wa mwisho wa mashariki jua linakochomoza, pia ulikuwa na upana wa dhiraa hamsini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Upande wa mashariki kuelekea mashariki dhiraa hamsini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Upande wa mashariki, kulikokuwa na mlango, ulikuwa na upana wa mita 22.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao upande wa maawioni kwa jua ulikuwa mikono hamsini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Upande wa mashariki kuelekea mashariki dhiraa hamsini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Upande wa mashariki, kulikuwa mulango, uliokuwa na upana wa metre makumi mbili na mbili.