Exodus 38:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Chandarua cha kila upande wa mlango kilikuwa na upana wa mita 6.5, pamoja na nguzo tatu na vikalio vyake vitatu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mapazia yenye urefu wa dhiraa kumi na tano yalikuwa upande mmoja wa ingilio, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Chandarua ya upande mmoja wa lango ilikuwa dhiraa kumi na tano urefu wake; na nguzo zake tatu, na matako yake matatu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Chandarua cha kila upande wa mlango kilikuwa na upana wa mita 6.5, pamoja na nguzo tatu na vikalio vyake vitatu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mapazia yenye urefu wa dhiraa kumi na tano yalikuwa upande mmoja wa ingilio pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mapazia yenye urefu wa dhiraa kumi na tano yalikuwa upande mmoja wa ingilio, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Chandarua ya upande mmoja wa lango ilikuwa dhiraa kumi na tano urefu wake; na nguzo zake tatu, na vitako vyake vitatu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Chandarua cha kila upande wa mlango kilikuwa na upana wa mita 6.5, pamoja na nguzo tatu na vikalio vyake vitatu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nguo ya upande wa huku ilikuwa ya mikono kumi na mitano, nazo nguzo zake zilikuwa tatu zenye miguu mitatu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Chandarua ya upande mmoja wa lango ilikuwa dhiraa kumi na tano urefu wake; na nguzo zake tatu, na matako yake matatu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Pazia la kila upande wa mulango lilikuwa na upana wa metre sita na nusu, pamoja na nguzo tatu na vikalio vyake vitatu.