Exodus 38:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Upande mwingine kadhalika ulikuwa na chandarua chenye upana wa mita 6.5, pamoja na nguzo tatu na vikalio vyake vitatu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mapazia yenye urefu wa dhiraa kumi na tano yalikuwa upande mwingine wa ingilio la ua, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ni vivyo upande wa pili; upande huu na huu langoni mwa ua mlikuwa na chandarua ya dhiraa kumi na tano urefu wake; nguzo zake zilikuwa ni tatu, na matako yake matatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Upande mwingine kadhalika ulikuwa na chandarua chenye upana wa mita 6.5, pamoja na nguzo tatu na vikalio vyake vitatu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mapazia yenye urefu wa dhiraa kumi na tano yalikuwa upande mwingine wa ingilio kuelekea kwenye ua, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mapazia yenye urefu wa dhiraa kumi na tano yalikuwa upande mwingine wa ingilio la ua, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ni vivyo hivyo upande wa pili; upande huu na huu langoni mwa ua mlikuwa na chandarua ya dhiraa kumi na tano urefu wake; nguzo zake zilikuwa ni tatu, na vitako vyake vitatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Upande mwingine kadhalika ulikuwa na chandarua chenye upana wa mita 6.5, pamoja na nguzo tatu na vikalio vyake vitatu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao upande wa huko nguo yake ilikuwa ya mikono kumi na mitano, maana hapo pa kuuingilia ua ulikuwa upande wa huku na upande wa huko, nazo nguzo zake zilikuwa tatu zenye miguu mitatu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ni vivyo upande wa pili; upande huu na huu langoni mwa ua mlikuwa na chandarua ya dhiraa kumi na tano urefu wake; nguzo zake zilikuwa ni tatu, na matako yake matatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Upande mwingine vilevile ulikuwa na pazia yenye upana wa metre sita na nusu, pamoja na nguzo tatu na vikalio vyake vitatu.