Exodus 38:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pia nguzo zake zilikuwa nne na vikalio vinne vya shaba. Kulabu zake zilikuwa za fedha, hata nguzo zake na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
likiwa na nguzo nne na vitako vinne vya shaba. Kulabu zake na tepe zake zilikuwa za fedha, na ncha zake zilikuwa zimefunikwa kwa fedha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na nguzo zake zilikuwa nne, na matako yake manne, yalikuwa ya shaba; kulabu zake zilikuwa za fedha, na vichwa vyake na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pia nguzo zake zilikuwa nne na vikalio vinne vya shaba. Kulabu zake zilikuwa za fedha, hata nguzo zake na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
pakiwa na nguzo nne na vitako vinne vya shaba. Kulabu zake na tepe zake zilikuwa za fedha, ncha zake zilikuwa zimefunikwa kwa fedha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
likiwa na nguzo nne na vitako vinne vya shaba. Kulabu zake na tepe zake zilikuwa za fedha, na ncha zake zilikuwa zimefunikwa kwa fedha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na nguzo zake zilikuwa nne, na vitako vyake vinne, vilikuwa vya shaba; kulabu zake zilikuwa za fedha, na vichwa vyake na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pia nguzo zake zilikuwa nne na vikalio vinne vya shaba. Kulabu zake zilikuwa za fedha, hata nguzo zake na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nguzo zake nne pamoja na miguu yake minne zilikuwa za shaba, lakini vifungo vyao vilikuwa vya fedha, navyo vichwa vyao viliuwa vimefunikizwa fedha, navyo vijiti vyao vya kuziungia juu vilikuwa vya fedha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na nguzo zake zilikuwa nne, na matako yake manne, yalikuwa ya shaba; kulabu zake zilikuwa za fedha, na vichwa vyake na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile nguzo zake zilikuwa ine na vikalio vine vya shaba. Vifungio vyake vilikuwa vya feza, hata nguzo zake na kamba zake vilikuwa vya feza.