Exodus 38:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika kila pembe ya madhabahu hiyo alitengeneza upembe uliokuwa umeundwa kutokana na madhabahu yenyewe. Madhabahu hiyo yote aliipaka shaba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatengeneza upembe kwenye kila pembe ya hizo pembe nne, ili zile pembe na madhabahu zikawa zimeungana, akafunika madhabahu kwa shaba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akazifanya pembe zake katika ncha zake nne; hizo pembe zilikuwa za kitu kimoja nayo; naye akaifunika shaba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika kila pembe ya madhabahu hiyo alitengeneza upembe uliokuwa umeundwa kutokana na madhabahu yenyewe. Madhabahu hiyo yote aliipaka shaba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatengeneza upembe kwenye kila pembe katika hizo pembe nne, ili kwamba zile pembe na madhabahu ziwe zimeungana, akafunika madhabahu kwa shaba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatengeneza upembe kwenye kila pembe ya hizo pembe nne, ili zile pembe na madhabahu zikawa zimeungana, akafunika madhabahu kwa shaba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akazifanya pembe zake katika ncha zake nne; hizo pembe zilikuwa za kitu kimoja nayo; naye akaifunika shaba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika kila pembe ya madhabahu hiyo alitengeneza upembe uliokuwa umeundwa kutokana na madhabahu yenyewe. Madhabahu hiyo yote aliipaka shaba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Penye pembe zake nne akatengeneza pembe zilizoipasa, nazo hizo pembe zake zilikuwa za mti uo huo mmoja; kisha akaifunikiza shaba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akazifanya pembe zake katika ncha zake nne; hizo pembe zilikuwa za kitu kimoja nayo; naye akaifunika shaba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika kila pembe ya mazabahu hiyo akatengeneza upembe uliokuwa umeundwa kutokana na mazabahu yenyewe. Mazabahu hiyo yote akaipakaa shaba.