Exodus 38:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vigingi vyote vya hema na vya ua kandokando ya hema vilikuwa vya shaba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vigingi vyote vya maskani ya Mungu na vya ua ulioizunguka vilikuwa vya shaba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na vigungi vyote vya maskani, na vya ua ulioizunguka pande zote vilikuwa vya shaba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vigingi vyote vya hema na vya ua kandokando ya hema vilikuwa vya shaba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vigingi vyote vya maskani vilivyozunguka ua vilikuwa vya shaba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vigingi vyote vya maskani na vya ua ulioizunguka vilikuwa vya shaba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na vigingi vyote vya maskani, na vya ua ulioizunguka pande zote vilikuwa vya shaba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vigingi vyote vya hema na vya ua kandokando ya hema vilikuwa vya shaba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mambo zote za Kao lenyewe na za ua kuuzunguka wote zilikuwa za shaba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na vigungi vyote vya maskani, na vya ua ulioizunguka pande zote vilikuwa vya shaba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Misumari yote ya hema na ya upango kandokando ya hema vilikuwa vya shaba.