Exodus 38:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bezaleli, mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda, alifanya kila kitu ambacho Mwenyezi-Mungu alimwamuru Mose.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda, alifanya kila kitu Mwenyezi Mungu alichomwamuru Musa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila ya Yuda, akafanya yote Bwana aliyomwagiza Musa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bezaleli, mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda, alifanya kila kitu ambacho Mwenyezi-Mungu alimwamuru Mose.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda, alifanya kila kitu BWANA alichomwamuru Mose,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
(Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda, alifanya kila kitu bwana alichomwamuru Musa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda, akafanya yote BWANA aliyomwagiza Musa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bezaleli, mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda, alifanya kila kitu ambacho Mwenyezi-Mungu alimwamuru Mose.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Besaleli, mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa shina la Yuda, alifanya yote, kama Bwana alivyomwagiza Mose.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila ya Yuda, akafanya yote BWANA aliyomwagiza Musa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Bezaleli mwana wa Uri mwana wa Huri, wa kabila la Yuda, alifanya kila kitu ambacho Yawe alimwamuru Musa.