Exodus 38:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alisaidiwa na Oholiabu mwana wa Ahisamaki, wa kabila la Dani, fundi stadi wa kutia nakshi, kusanii michoro na kutarizi kwa nyuzi za sufu ya rangi ya buluu, zambarau na nyekundu na kitani safi iliyosokotwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akiwa pamoja na Oholiabu mwana wa Ahisamaki, wa kabila la Dani, fundi stadi wa kutia nakshi, kubuni michoro, mtarizi kwa rangi ya buluu, ya zambarau, nyekundu na kitani safi.)
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na pamoja naye alikuwa na Oholiabu, mwana wa Ahisamaki, wa kabila ya Dani, aliyekuwa fundi wa kuchora nakshi, mfanyaji wa kazi mwerevu, naye alikuwa mwenye kutia taraza za nyuzi za rangi ya samawi, na za rangi ya zambarau, na nyekundu, na kitani nzuri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alisaidiwa na Oholiabu mwana wa Ahisamaki, wa kabila la Dani, fundi stadi wa kutia nakshi, kusanii michoro na kutarizi kwa nyuzi za sufu ya rangi ya buluu, zambarau na nyekundu na kitani safi iliyosokotwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akiwa pamoja na Oholiabu mwana wa Ahisamaki, wa kabila la Dani, fundi stadi wa kutia nakshi, kubuni michoro, mtarizi kwa rangi ya buluu, ya zambarau, nyekundu na kitani safi.)
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akiwa pamoja na Oholiabu mwana wa Ahisamaki, wa kabila la Dani, fundi stadi wa kutia nakshi, kubuni michoro, mtarizi kwa rangi ya buluu, ya zambarau, nyekundu na kitani safi.)
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na pamoja naye alikuwa na Oholiabu, mwana wa Ahisamaki, wa kabila la Dani, aliyekuwa fundi wa kuchora nakshi, mfanyakazi mwerevu, naye alikuwa mwenye kutia taraza za nyuzi za rangi ya samawati, na za rangi ya zambarau, na nyekundu, na kitani nzuri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alisaidiwa na Oholiabu mwana wa Ahisamaki, wa kabila la Dani, fundi stadi wa kutia nakshi, kusanii michoro na kutarizi kwa nyuzi za sufu ya rangi ya buluu, zambarau na nyekundu na kitani safi iliyosokotwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pamoja naye alifanya kazi Oholiabu, mwana wa Ahisamaki, wa shila la Dani; naye alikuwa fundi wa kuchora na wa kuvumbua kazi nzuri za ufundi na wa kufuma kwa nyuzi za rangi za nguo za kifalme nyeusi na nyekundu na za bafta ngumu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na pamoja naye alikuwa na Oholiabu, mwana wa Ahisamaki, wa kabila ya Dani, aliyekuwa fundi wa kuchora nakshi, mfanyaji wa kazi mwerevu, naye alikuwa mwenye kutia taraza za nyuzi za rangi ya samawi, na za rangi ya zambarau, na nyekundu, na kitani nzuri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alisaidiwa na Oholiabu mwana wa Ahisamaki, wa kabila la Dani, fundi mukubwa wa kutia mapambo, kufanya michoro na kupamba kwa nyuzi za sufu ya rangi ya samawi, zambarau na nyekundu na kitani safi iliyosokotwa.