Exodus 38:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila mtu aliyehesabiwa tangu umri wa miaka ishirini na moja na zaidi alitoa mchango wake wa fedha gramu 5; na wanaume wote waliohesabiwa walikuwa 603,550.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila mtu alitoa beka moja, ambayo ni sawa na nusu shekeli ya fedha, kwa kazi ya mahali patakatifu, kutoka kwa kila mtu aliyekuwa amehesabiwa mwenye umri wa miaka ishirini au zaidi, ambao jumla yao walikuwa wanaume elfu mia sita na tatu mia tano na hamsini (603,550).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kichwa beka, maana, nusu shekeli, kwa kadiri ya shekeli ya mahali patakatifu, kwa ajili ya kila mtu aliyepita kwa wale waliohesabiwa, aliyekuwa wa umri wa miaka ishirini au zaidi, kwa ajili ya watu waume sita mia na tatu elfu, na mia tano na hamsini (603,550).
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila mtu aliyehesabiwa tangu umri wa miaka ishirini na moja na zaidi alitoa mchango wake wa fedha gramu 5; na wanaume wote waliohesabiwa walikuwa 603,550.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila mtu alitoa beka moja, ambayo ni sawa na nusu shekeli ya fedha, kwa kazi ya mahali patakatifu, kutoka kwa kila mtu aliyekuwa amehesabiwa mwenye umri wa miaka ishirini au zaidi, ambao jumla yao walikuwa wanaume 603,550.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila mtu alitoa beka moja, ambayo ni sawa na nusu shekeli ya fedha, kwa kazi ya mahali patakatifu, kutoka kwa kila mtu aliyekuwa amehesabiwa mwenye umri wa miaka ishirini au zaidi, ambao jumla yao walikuwa wanaume 603,550.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kichwa beka, maana, nusu shekeli, kwa kadiri ya shekeli ya mahali patakatifu, kwa ajili ya kila mtu aliyepita kwa wale waliohesabiwa, aliyekuwa wa umri wa miaka ishirini au zaidi, kwa ajili ya wanaume elfu mia sita na tatu mia tano na hamsini (603,550).
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila mtu aliyehesabiwa tangu umri wa miaka ishirini na moja na zaidi alitoa mchango wake wa fedha gramu 5; na wanaume wote waliohesabiwa walikuwa 603,550.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila kichwa walilipa beka moja, ndio nusu ya fedha au shilingi mbili kwa kipimo cha fedha cha Patakatifu; ndivyo, kila mmoja alivyolipa alipofika kukaguliwa kuwa ni mwenye miaka ishirini na zaidi, nao walikuwa watu 603550.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kichwa beka, maana, nusu shekeli, kwa kadiri ya shekeli ya mahali patakatifu, kwa ajili ya kila mtu aliyepita kwa wale waliohesabiwa, aliyekuwa wa umri wa miaka ishirini au zaidi, kwa ajili ya watu waume sita mia na tatu elfu, na mia tano na hamsini (603,550).
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila mutu aliyehesabiwa tangu umri wa miaka makumi mbili na moja na zaidi alitoa muchango wake wa feza grama tano. Wanaume wote waliohesabiwa walikuwa elfu mia sita na tatu na mia tano na makuni tano.