Exodus 38:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kilo 3,000 za fedha zilitumika kutengenezea vile vikalio 100 vya hema takatifu na lile pazia, yaani kilo 30 kwa kila kikalio.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Talanta hizo mia moja za fedha zilitumika kusubu vile vitako mia moja kwa ajili ya mahali patakatifu na pazia: vitako mia moja kwa talanta mia, yaani talanta moja kwa kila kitako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hizo talanta mia za fedha zilikuwa kwa kusubu yale matako ya mahali patakatifu na matako ya hilo pazia; matako mia kwa hizo talanta mia, talanta moja tako moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kilo 3,000 za fedha zilitumika kutengenezea vile vikalio 100 vya hema takatifu na lile pazia, yaani kilo 30 kwa kila kikalio.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Talanta hizo 100 za fedha zilitumika kusubu vile vitako mia moja kwa ajili ya mahali patakatifu na mapazia, vitako mia moja kwa talanta mia, yaani, talanta moja kwa kila kitako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Talanta hizo 100 za fedha zilitumika kusubu vile vitako mia moja kwa ajili ya mahali patakatifu na pazia: vitako mia moja kwa talanta mia, yaani, talanta moja kwa kila kitako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hizo talanta mia moja za fedha zilikuwa kwa kutengenezea vile vitako vya mahali patakatifu na vitako vya hilo pazia; vitako mia moja kwa hizo talanta mia moja, talanta moja kitako kimoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kilo 3,000 za fedha zilitumika kutengenezea vile vikalio 100 vya hema takatifu na lile pazia, yaani kilo 30 kwa kila kikalio.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Zile talanta 100 za fedha zilitumika za kuitengeneza miguu ya Patakatifu na miguu ya pazia kwa kuziyeyusha, miguu 100 kwa talanta 100, talanta moja ya mguu mmoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hizo talanta mia za fedha zilikuwa kwa kusubu yale matako ya mahali patakatifu na matako ya hilo pazia; matako mia kwa hizo talanta mia, talanta moja tako moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kilo elfu tatu za feza zilitumika kwa kutengeneza vile vikalio mia moja vya hema takatifu na lile pazia, ni kusema kilo makumi tatu kwa kila kikalio.