Exodus 38:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zile kilo 17 na gramu 75 zilizosalia, zilitumika kutengenezea kulabu za nguzo na kuvipaka vichwa vya nguzo na kuitengenezea vitanzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatumia hizo shekeli elfu moja mia saba sabini na tano (1,775) kutengeneza kulabu za nguzo, kufunika ncha za nguzo, na kutengeneza vitanzi vyake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kwa hizo shekeli elfu moja na mia saba, na sabini na tano, akafanya vifungo vya hizo nguzo, na kuvifunika fedha vile vichwa vyake, na kufanya vitanzi vyake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zile kilo 17 na gramu 75 zilizosalia, zilitumika kutengenezea kulabu za nguzo na kuvipaka vichwa vya nguzo na kuitengenezea vitanzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatumia zile shekeli hizo 1,775 kutengeneza kulabu za nguzo, kufunika ncha za nguzo na kutengeneza vitanzi vyake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatumia zile shekeli hizo 1,775 kutengeneza kulabu za nguzo, kufunika ncha za nguzo na kutengeneza vitanzi vyake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kwa hizo shekeli elfu moja na mia saba, na sabini na tano, akafanya vifungo vya hizo nguzo, na kuvifunika fedha vile vichwa vyake, na kufanya vitanzi vyake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zile kilo 17 na gramu 75 zilizosalia, zilitumika kutengenezea kulabu za nguzo na kuvipaka vichwa vya nguzo na kuitengenezea vitanzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nazo zile sekeli 1775 zilitumika za kuvitengeneza vifungo vya nguzo na za kuvifunikiza vichwa vyao na za vijiti vya kuziungia juu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kwa hizo shekeli elfu moja na mia saba, na sabini na tano, akafanya vifungo vya hizo nguzo, na kuvifunika fedha vile vichwa vyake, na kufanya vitanzi vyake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zile kilo kumi na saba na grama makumi saba na tano zilizobakia, zilitumika kwa kutengeneza vifungio vya nguzo na kuvipakaa vichwa vya nguzo na kutengeneza kamba.