Exodus 38:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jumla ya mchango wa shaba Waisraeli waliomtolea Mwenyezi-Mungu ilikuwa na uzito wa kilo 2124.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Shaba iliyopatikana kutokana na sadaka ya kuinuliwa ilikuwa na uzito wa talanta sabini na shekeli elfu mbili mia nne.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hiyo shaba iliyoletwa ilikuwa ni talanta sabini, na shekeli elfu mbili na mia nne.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jumla ya mchango wa shaba Waisraeli waliomtolea Mwenyezi-Mungu ilikuwa na uzito wa kilo 2124.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Shaba iliyopatikana kutokana na sadaka ya kuinuliwa ilikuwa na uzito wa talanta 70 na shekeli 2,400
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Shaba iliyopatikana kutokana na sadaka ya kuinuliwa ilikuwa na uzito wa talanta 70 na shekeli 2,400.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hiyo shaba iliyoletwa ilikuwa ni talanta sabini, na shekeli elfu mbili na mia nne.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jumla ya mchango wa shaba Waisraeli waliomtolea Mwenyezi-Mungu ilikuwa na uzito wa kilo 2124.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nazo shaba vipaji vyake vya tambiko vya kupitishwa motoni vilikuwa talanta 70 na sekeli 2400, pamoja ndio frasila 230.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hiyo shaba iliyoletwa ilikuwa ni talanta sabini, na shekeli elfu mbili na mia nne.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jumla ya muchango wa shaba Waisraeli waliomutolea Yawe ilikuwa na uzito wa kilo elfu mbili mia moja makumi mbili na ine.