Exodus 38:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitengeneza wavu wa shaba, akautia chini ya ukingo wa madhabahu hadi katikati ya madhabahu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatengeneza wavu wa shaba chini ya ukingo wa madhabahu ili ufikie nusu ya kimo cha madhabahu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akaifanyia madhabahu wavu wa shaba, akautia chini ya ukingo kuizunguka pande zote, ukawa katikati ya hiyo madhabahu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitengeneza wavu wa shaba, akautia chini ya ukingo wa madhabahu hadi katikati ya madhabahu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatengeneza wavu wa shaba, uwe chini ya ukingo wa madhabahu ili kwamba ufikie nusu ya kimo cha madhabahu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatengeneza wavu wa shaba chini ya ukingo wa madhabahu ili ufikie nusu ya kimo cha madhabahu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akaifanyia madhabahu wavu wa shaba, akautia chini ya ukingo kuizunguka pande zote, ukawa katikati ya hiyo madhabahu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitengeneza wavu wa shaba, akautia chini ya ukingo wa madhabahu hadi katikati ya madhabahu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akaitengenezea meza ya kutambikia kikingio kilichofanana na wavu wa shaba, akauweka chini ya ukingo wake kuelekea chini, ufike mpaka katikati ya meza ya kutambikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akaifanyia madhabahu wavu wa shaba, akautia chini ya ukingo kuizunguka pande zote, ukawa katikati ya hiyo madhabahu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akatengeneza wavu wa shaba, akautia chini ya ukingo wa mazabahu mpaka katikati ya mazabahu.