Exodus 38:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika pembe nne alitengeneza pete nne za kuibebea hiyo madhabahu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akasubu pete za shaba za kushikilia ile mipiko kwa ajili ya zile pembe nne za huo wavu wa shaba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akasubu vikuku vinne kwa kutiwa katika pembe nne za huo wavu wa shaba, viwe mahali pa kutia ile miti ya kuichukulia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika pembe nne alitengeneza pete nne za kuibebea hiyo madhabahu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akasubu pete za shaba za kushikilia ile mipiko kwa ajili ya pembe nne za huo wavu wa shaba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akasubu pete za shaba za kushikilia ile mipiko kwa ajili ya zile pembe nne za huo wavu wa shaba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akasubu vikuku vinne kwa kutiwa katika pembe nne za huo wavu wa shaba, viwe mahali pa kutia ile miti ya kuichukulia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika pembe nne alitengeneza pete nne za kuibebea hiyo madhabahu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akatengeneza mapete manne kwa kuyeyusha shaba, akayatia katika hizo pembe nne za wavu wa shaba ya kutilia mipiko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akasubu vikuku vinne kwa kutiwa katika pembe nne za huo wavu wa shaba, viwe mahali pa kutia ile miti ya kuichukulia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika pembe ine akatengeneza pete ine za kubebea hiyo mazabahu.