Exodus 38:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliitia ile mipiko katika zile pete zilizokuwa kando ya madhabahu ili kuibebea. Madhabahu hiyo iliyotengenezwa kwa mbao ilikuwa na mvungu ndani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaiingiza ile mipiko kwenye zile pete, ili iwe pande mbili za madhabahu kwa ajili ya kuibeba. Akaitengeneza madhabahu yenye uvungu ndani yake akitumia mbao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akaitia ile miti katika vile vikuku vilivyokuwa katika mbavu za hiyo madhabahu, ili kuichukua; akaifanya yenye mvungu ndani, kwa zile mbao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliitia ile mipiko katika zile pete zilizokuwa kando ya madhabahu ili kuibebea. Madhabahu hiyo iliyotengenezwa kwa mbao ilikuwa na mvungu ndani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaingiza ile mipiko kwenye zile pete, ili hiyo mipiko iwe upande huu na upande huu wa madhabahu kwa ajili ya kuibeba. Akaitengeneza madhabahu yenye uvungu ndani yake akitumia mbao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaiingiza ile mipiko kwenye zile pete, ili iwe pande mbili za madhabahu kwa ajili ya kuibeba. Akaitengeneza madhabahu yenye uvungu ndani yake akitumia mbao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akaitia ile miti katika vile vikuku vilivyokuwa katika mbavu za hiyo madhabahu, ili kuichukua; akaifanya yenye mvungu ndani, kwa zile mbao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliitia ile mipiko katika zile pete zilizokuwa kando ya madhabahu ili kuibebea. Madhabahu hiyo iliyotengenezwa kwa mbao ilikuwa na mvungu ndani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hiyo mipiko akaitia katika hayo mapete yaliyokuwa pande mbili penye meza ya kutambikia, itumike ya kuichukulia. Hivyo meza ya kutambikia aliitengeneza kwa mbao, iwe yenye mvungu ndani ulio wazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akaitia ile miti katika vile vikuku vilivyokuwa katika mbavu za hiyo madhabahu, ili kuichukua; akaifanya yenye mvungu ndani, kwa zile mbao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akaitia ile miti katika zile pete zilizokuwa kando ya mazabahu kwa kuibebea. Mazabahu hiyo iliyotengenezwa kwa mbao ilikuwa wazi ndani.