Exodus 39:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kifuko hicho kilipambwa kwa safu nne za mawe ya thamani; safu ya kwanza ilikuwa ya akiki, topazi na almasi nyekundu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kifuko hicho kilipambwa kwa safu nne za vito vya thamani. Safu ya kwanza ilikuwa na akiki, yakuti manjano na zabarajadi;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakatia safu nne za vito ndani yake, safu moja ilikuwa ni akiki, na yakuti ya rangi ya manjano, na baharamani, vilikuwa ni safu ya kwanza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kifuko hicho kilipambwa kwa safu nne za mawe ya thamani; safu ya kwanza ilikuwa ya akiki, topazi na almasi nyekundu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kifuko hicho kilipambwa kwa safu nne za vito vya thamani. Safu ya kwanza ilikuwa ya akiki, yakuti manjano na zabarajadi;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kifuko hicho kilipambwa kwa safu nne za vito vya thamani. Safu ya kwanza ilikuwa na akiki, yakuti manjano na zabarajadi;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakatia safu nne za vito ndani yake, safu moja ilikuwa ni akiki, na yakuti ya rangi ya manjano, na baharamani, vilikuwa ni safu ya kwanza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kifuko hicho kilipambwa kwa safu nne za mawe ya thamani; safu ya kwanza ilikuwa ya akiki, topazi na almasi nyekundu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakakijaza vito na kuviweka kuwa mistari minne ya vito. Mstari wa kwanza: sardio, topazio na sumarato; ndio mstari wa kwanza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakatia safu nne za vito ndani yake, safu moja ilikuwa ni akiki, na yakuti ya rangi ya manjano, na baharamani, vilikuwa ni safu ya kwanza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kifuko hicho kilipambwa kwa mistari mine ya mawe ya bei kali. Mustari wa kwanza ulikuwa wa akiki, topazi na almasi nyekundu.