Exodus 39:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
safu ya pili ilikuwa ya zumaridi, na johari ya rangi ya samawati na almasi;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
safu ya pili ilikuwa na almasi, yakuti samawi na zumaridi;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na safu ya pili ilikuwa zumaridi, na yakuti samawi, na almasi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
safu ya pili ilikuwa ya zumaridi, na johari ya rangi ya samawati na almasi;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
safu ya pili ilikuwa ya almasi, yakuti samawi na zumaridi;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
safu ya pili ilikuwa na almasi, yakuti samawi na zumaridi;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na safu ya pili ilikuwa zumaridi, na yakuti samawi, na almasi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
safu ya pili ilikuwa ya zumaridi, na johari ya rangi ya samawati na almasi;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mstari wa pili: almasi nyekundu, safiro na yaspi;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na safu ya pili ilikuwa zumaridi, na yakuti samawi, na almasi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mustari wa pili ulikuwa wa zumaridi, yakuti-samawi na almasi.