Exodus 39:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
safu ya tatu ilikuwa ya yasintho, ya akiki nyekundu na amethisto;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
safu ya tatu ilikuwa na hiakintho, akiki nyekundu na amethisto;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na safu ya tatu ilikuwa ni hiakintho, na akiki nyekundu, na amethisto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
safu ya tatu ilikuwa ya yasintho, ya akiki nyekundu na amethisto;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
safu ya tatu ilikuwa ya yakintho, akiki nyekundu na amethisto;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
safu ya tatu ilikuwa na hiakintho, akiki nyekundu na amethisto;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na safu ya tatu ilikuwa ni hiakintho, na akiki nyekundu, na amethisto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
safu ya tatu ilikuwa ya yasintho, ya akiki nyekundu na amethisto;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mstari wa tatu: hiakinto, akate na ametisto;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na safu ya tatu ilikuwa ni hiakintho, na akiki nyekundu, na amethisto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mustari wa tatu ulikuwa wa yasinto, akiki nyekundu na ametisto.