Exodus 39:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na safu ya nne ilikuwa ya zabarajadi, ya shohamu na yaspi; yote yalimiminiwa vijalizo vya dhahabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
katika safu ya nne ilikuwa na krisolitho, shohamu na yaspi. Vito hivyo vilitiwa kwenye vijalizo vya dhahabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na safu ya nne ilikuwa ni zabarajadi, na shohamu, na yaspi: vito hivyo vilikuwa vimetiwa katika vijalizo vya dhahabu, kila kimoja mahali pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na safu ya nne ilikuwa ya zabarajadi, ya shohamu na yaspi; yote yalimiminiwa vijalizo vya dhahabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
katika safu ya nne ilikuwa ya krisolitho, shohamu na yaspi. Vito hivyo viliwekwa kwenye vijalizo vya dhahabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
katika safu ya nne ilikuwa na krisolitho, shohamu na yaspi. Vito hivyo vilitiwa kwenye vijalizo vya dhahabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na safu ya nne ilikuwa ni zabarajadi, na shohamu, na yaspi: vito hivyo vilikuwa vimetiwa katika vijalizo vya dhahabu, kila kimoja mahali pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na safu ya nne ilikuwa ya zabarajadi, ya shohamu na yaspi; yote yalimiminiwa vijalizo vya dhahabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mstari wa nne: krisolito, oniki na berilo. Navyo vilipotiwa vyote vilikuwa vimezungushiwa vikingo vya dhahabu vya kuvishika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na safu ya nne ilikuwa ni zabarajadi, na shohamu, na yaspi: vito hivyo vilikuwa vimetiwa katika vijalizo vya dhahabu, kila kimoja mahali pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mustari wa ine ulikuwa wa zabarajadi, shohamu na yaspi. Yote yalifungwa ndani ya kingo za zahabu.