Exodus 39:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walikitengenezea kile kifuko cha kifuani mikufu ya dhahabu safi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa ajili ya kile kifuko cha kifuani alitengeneza mikufu ya dhahabu safi, iliyosokotwa kama kamba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakafanya katika kile kifuko cha kifuani mikufu mfano wa kamba, ya kazi ya kusokotwa ya dhahabu safi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walikitengenezea kile kifuko cha kifuani mikufu ya dhahabu safi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kile kifuko cha kifuani akakitengenezea mikufu ya dhahabu safi, mfano wa kamba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa ajili ya kile kifuko cha kifuani akakitengenezea mikufu ya dhahabu safi, iliyosokotwa kama kamba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakafanya katika kile kifuko cha kifuani mikufu mfano wa kamba, ya kazi ya kusokotwa ya dhahabu safi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walikitengenezea kile kifuko cha kifuani mikufu ya dhahabu safi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena wakatengeneza kwa dhahabu tupu vikufu vilivyofanana na kamba zilizosokotwa, wakavitia penye kibati cha kifuani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakafanya katika kile kifuko cha kifuani mikufu mfano wa kamba, ya kazi ya kusokotwa ya dhahabu safi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walitengenezea kile kifuko cha kifua mikufu ya zahabu safi.