Exodus 39:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walitengeneza vijalizo viwili vya dhahabu safi na pete mbili za dhahabu, na kuzitia pete hizo kwenye ncha mbili za juu za kifuko hicho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatengeneza vijalizo viwili vya dhahabu na pete mbili za dhahabu, na kuzifungia pete hizo kwenye pembe mbili za hicho kifuko cha kifuani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakafanya vijalizo viwili vya dhahabu, na pete mbili za dhahabu; nao wakazitia hizo pete mbili katika ncha mbili za hicho kifuko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walitengeneza vijalizo viwili vya dhahabu safi na pete mbili za dhahabu, na kuzitia pete hizo kwenye ncha mbili za juu za kifuko hicho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaitengeneza vijalizo viwili vya dhahabu na pete mbili za dhahabu, na kuzifungia pete hizo kwenye pembe mbili za hicho kifuko cha kifuani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatengeneza vijalizo viwili vya dhahabu na pete mbili za dhahabu, na kuzifungia pete hizo kwenye pembe mbili za hicho kifuko cha kifuani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakafanya vijalizo viwili vya dhahabu, na pete mbili za dhahabu; nao wakazitia hizo pete mbili katika ncha mbili za hicho kifuko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walitengeneza vijalizo viwili vya dhahabu safi na pete mbili za dhahabu, na kuzitia pete hizo kwenye ncha mbili za juu za kifuko hicho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakatengeneza vipini viwili vya dhahabu na pete mbili za dhahabu, wakazitia hizo pete mbili penye zile ncha mbili za juu za kibati cha kifuani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakafanya vijalizo viwili vya dhahabu, na pete mbili za dhahabu; nao wakazitia hizo pete mbili katika ncha mbili za hicho kifuko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakatengeneza kingo mbili za zahabu safi na pete mbili za zahabu, na kutia pete hizo kwenye incha mbili za juu za kifuko hicho.