Exodus 39:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mikufu hiyo miwili ya dhahabu waliifunga kwenye pete hizo za kifuko cha kifuani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akafunga hiyo mikufu miwili ya dhahabu kwenye hizo pete katika pembe za hicho kifuko cha kifuani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakaitia hiyo mikufu miwili iliyosokotwa katika hizo pete mbili zilizokuwa katika ncha mbili za hicho kifuko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mikufu hiyo miwili ya dhahabu waliifunga kwenye pete hizo za kifuko cha kifuani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akafunga hiyo mikufu miwili ya dhahabu kwenye hizo pete katika pembe za hicho kifuko cha kifuani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akafunga hiyo mikufu miwili ya dhahabu kwenye hizo pete katika pembe za hicho kifuko cha kifuani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakaitia hiyo mikufu miwili iliyosokotwa katika hizo pete mbili zilizokuwa katika ncha mbili za hicho kifuko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mikufu hiyo miwili ya dhahabu waliifunga kwenye pete hizo za kifuko cha kifuani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha hivyo vikufu viwili vya dhahabu vilivyofanana na kamba wakavifunga katika zile pete mbili penye zile ncha za juu za kibati cha kifuani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakaitia hiyo mikufu miwili iliyosokotwa katika hizo pete mbili zilizokuwa katika ncha mbili za hicho kifuko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mikufu hiyo miwili ya zahabu wakaifunga kwenye pete hizo za kifuko cha kifua.