Exodus 39:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zile ncha mbili za mikufu ya dhahabu walizitia kwenye vile vijalizo viwili wakazishikamanisha na vile vipande viwili vya mabegani vya kizibao, upande wa mbele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nazo zile ncha nyingine za mkufu akazifunga kwenye vile vijalizo viwili, na kuziunganisha na vile vipande vya mabega vya kile kizibau upande wa mbele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ncha hizo mbili nyingine, za hiyo mikufu miwili ya kusokotwa, wakazitia katika vile vijalizo viwili, na kuvitia katika vile vipande vya mabegani vya naivera, upande wa mbele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zile ncha mbili za mikufu ya dhahabu walizitia kwenye vile vijalizo viwili wakazishikamanisha na vile vipande viwili vya mabegani vya kizibao, upande wa mbele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
zile ncha nyingine za mikufu kwenye vile vijalizo viwili, akazishikamanisha na vile vipande vya begani vya kile kisibau kwa mbele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nazo zile ncha nyingine za mkufu akazifunga kwenye vile vijalizo viwili, na kuzishikamanisha na vile vipande vya mabega vya kile kisibau upande wa mbele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ncha hizo mbili nyingine, za hiyo mikufu miwili ya kusokotwa, wakazitia katika vile vijalizo viwili, na kuvitia katika vile vipande vya mabegani vya naivera, upande wa mbele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zile ncha mbili za mikufu ya dhahabu walizitia kwenye vile vijalizo viwili wakazishikamanisha na vile vipande viwili vya mabegani vya kizibao, upande wa mbele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha hiyo miisho mingine miwili ya hivyo vikufu viwili vilivyofanana na kamba wakaifunga katika vile vikingo viwili vya dhahabu, kisha wakavifunga penye vipande vya mabegani vya kisibau upande wake wa mbele.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ncha hizo mbili nyingine, za hiyo mikufu miwili ya kusokotwa, wakazitia katika vile vijalizo viwili, na kuvitia katika vile vipande vya mabegani vya naivera, upande wa mbele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zile incha mbili za mikufu ya zahabu wakazitia kwenye zile kingo mbili wakazishikamanisha na vile vipande viwili vya mabega vya kizibao, upande wa mbele.