Exodus 39:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walitengeneza kizibao kwa nyuzi za dhahabu, kwa sufu ya rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, na kwa kitani safi iliyosokotwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatengeneza kizibau cha dhahabu, na nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na nyekundu na kitani iliyosokotwa vizuri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akaifanya hiyo naivera, ya nyuzi za dhahabu, na za rangi ya samawi, na za rangi ya zambarau, na za rangi nyekundu, na kitani nzuri ya kusokotwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walitengeneza kizibao kwa nyuzi za dhahabu, kwa sufu ya rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, na kwa kitani safi iliyosokotwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatengeneza kisibau kwa nyuzi za rangi ya dhahabu, ya buluu, ya zambarau, na nyekundu na kwa kitani iliyosokotwa vizuri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatengeneza kisibau cha dhahabu, na nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na nyekundu na kitani iliyosokotwa vizuri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akaifanya hiyo naivera, ya nyuzi za dhahabu, na za rangi ya buluu, zambarau, na nyekundu, na kitani nzuri ya kusokotwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walitengeneza kizibao kwa nyuzi za dhahabu, kwa sufu ya rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, na kwa kitani safi iliyosokotwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha walikitengeneza kisibau kwa dhahabu na kwa nguo za kifalme nyeusi na nyekundu na kwa nguo za bafta ngumu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akaifanya hiyo naivera, ya nyuzi za dhahabu, na za rangi ya samawi, na za rangi ya zambarau, na za rangi nyekundu, na kitani nzuri ya kusokotwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakatengeneza kizibao kwa nyuzi za zahabu, kwa sufu ya rangi ya samawi, zambarau na nyekundu, na kwa kitani safi iliyosokotwa.