Exodus 39:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walitengeneza pete nyingine mbili za dhahabu na kuzitia mbele katika ncha za chini za vipande vya kizibao, mahali kinapoungana na ule mkanda uliofumwa kwa ustadi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akatengeneza pete nyingine mbili za dhahabu na kuziunganisha sehemu ya chini ya vipande vya mabega upande wa mbele wa kile kizibau, karibu na pindo juu kidogo ya mshipi wa kiunoni wa kizibau.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakafanya pete mbili za dhahabu, na kuzitia katika vile vipande viwili vya ile naivera chini yake, upande wa mbele, karibu na kifungo chake, juu ya huo mshipi wa naivera uliosukwa kwa ustadi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walitengeneza pete nyingine mbili za dhahabu na kuzitia mbele katika ncha za chini za vipande vya kizibao, mahali kinapoungana na ule mkanda uliofumwa kwa ustadi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akatengeneza pete nyingine mbili za dhahabu na kuzishikamanisha upande wa chini wa vipande vya begani mbele ya kile kisibau, karibu na pindo juu kidogo ya mshipi wa kiunoni wa kisibau.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akatengeneza pete nyingine mbili za dhahabu na kuzishikamanisha sehemu ya chini ya vipande vya mabega upande wa mbele wa kile kisibau, karibu na pindo juu kidogo ya mshipi wa kiunoni wa kisibau.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakafanya pete mbili za dhahabu, na kuzitia katika vile vipande viwili vya ile naivera chini yake, upande wa mbele, karibu na kifungo chake, juu ya huo mshipi wa naivera uliosukwa kwa ustadi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walitengeneza pete nyingine mbili za dhahabu na kuzitia mbele katika ncha za chini za vipande vya kizibao, mahali kinapoungana na ule mkanda uliofumwa kwa ustadi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakatengeneza tena pete mbili, wakazitia katika vipande vile viwili vya mabegani vya kisibau chini yake upande wake wa mbele papo hapo, vile vipande vilipounganika, juu ya masombo ya kisibau.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakafanya pete mbili za dhahabu, na kuzitia katika vile vipande viwili vya ile naivera chini yake, upande wa mbele, karibu na kifungo chake, juu ya huo mshipi wa naivera uliosukwa kwa ustadi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakatengeneza pete zingine mbili za zahabu na kuzitia mbele katika incha za chini za vipande vya kizibao, pahali kinapoungana na ule mukaba uliofumwa kwa ufundi.