Exodus 39:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitengeneza kanzu ya kuvaa ndani ya kizibao ya rangi ya buluu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akashona joho la kizibau lote kwa kitambaa cha rangi ya buluu tupu, kazi ya mfumaji,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akafanya hiyo joho ya naivera ya kazi ya kusuka, rangi ya samawi yote;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitengeneza kanzu ya kuvaa ndani ya kizibao ya rangi ya buluu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatengeneza joho la kisibau lote la rangi ya buluu, kazi ya mfumaji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akashona joho la kisibau lote kwa kitambaa cha rangi ya buluu tupu, kazi ya mfumaji,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akafanya hilo joho la naivera ya kazi ya kusuka, rangi ya samawati yote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitengeneza kanzu ya kuvaa ndani ya kizibao ya rangi ya buluu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakatengeneza kanzu iliyokipasa hicho kisibau, nayo ilikuwa kazi ya fundi aliyejua kweli kufuma kwa nyuzi za rangi, yote nzima ilikuwa ya nguo nyeusi ya kifalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akafanya hiyo joho ya naivera ya kazi ya kusuka, rangi ya samawi yote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akatengeneza kanzu ya kuvaa ndani ya kizibao ya rangi ya samawi.