Exodus 39:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Joho hilo lilikuwa na nafasi ya kupitishia kichwa katikati, nayo ilizungushiwa utepe uliofumwa ili isichanike.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na lilikuwa na nafasi ya shingo katikati ya joho lile iliyofanana na ukosi, na utepe ulioshonwa kuizunguka nafasi hiyo ili isichanike.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na hilo tundu lililokuwa katikati yake, mfano wa tundu lililo katika kanzu ya chuma, na utepe wake kulizunguka hilo tundu, ili lisipasuke.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Joho hilo lilikuwa na nafasi ya kupitishia kichwa katikati, nayo ilizungushiwa utepe uliofumwa ili isichanike.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Joho hilo lilikuwa na nafasi ya shingo yenye ukosi na utepe ulishonewa kwa kuizunguka nafasi hiyo ili lisichanike.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na lilikuwa na nafasi ya shingo katikati ya joho lile iliyofanana na ukosi, na utepe ulioshonwa kuizunguka nafasi hiyo ili isichanike.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na hilo tundu lililokuwa katikati yake, mfano wa tundu lililo katika kanzu ya chuma, na utepe wake kulizunguka hilo tundu, ili lisipasuke.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Joho hilo lilikuwa na nafasi ya kupitishia kichwa katikati, nayo ilizungushiwa utepe uliofumwa ili isichanike.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Upande wa juu wa kanzu katikati yake ulikuwa na tundu lililofanana na tundu la shati ya chuma ya mpiga vita, kando lilizungukwa na taraza, lisipasuke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na hilo tundu lililokuwa katikati yake, mfano wa tundu lililo katika kanzu ya chuma, na utepe wake kulizunguka hilo tundu, ili lisipasuke.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Koti hilo lilikuwa na nafasi ya kupitishia kichwa katikati, nalo lilizungushiwa utepe uliofumwa kusudi isichanike.