Exodus 39:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwenye upindo wa chini wa kanzu walifuma mapambo ya makomamanga ya rangi ya buluu, ya zambarau na nyekundu, na kitani safi iliyosokotwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatengeneza makomamanga ya nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na nyekundu na ya kitani iliyosokotwa vizuri kuzunguka pindo la hilo joho.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakatia katika upindo wa joho makomamanga ya nyuzi za rangi ya samawi, na rangi ya zambarau, na rangi nyekundu, na kitani iliyosokotwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwenye upindo wa chini wa kanzu walifuma mapambo ya makomamanga ya rangi ya buluu, ya zambarau na nyekundu, na kitani safi iliyosokotwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatengeneza makomamanga ya nyuzi za rangi ya buluu, ya zambarau, nyekundu na ya kitani iliyosokotwa vizuri kuzunguka pindo la hilo joho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatengeneza makomamanga ya nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na nyekundu na ya kitani iliyosokotwa vizuri kuzunguka pindo la hilo joho.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakatia katika upindo wa joho makomamanga ya nyuzi za rangi ya samawati, na rangi ya zambarau, na rangi nyekundu, na kitani iliyosokotwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwenye upindo wa chini wa kanzu walifuma mapambo ya makomamanga ya rangi ya buluu, ya zambarau na nyekundu, na kitani safi iliyosokotwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Penye upindo wa chini wa kanzu wakatengeneza komamanga kwa nguo za kifalme nyeusi na nyekundu zilizo ngumu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakatia katika upindo wa joho makomamanga ya nyuzi za rangi ya samawi, na rangi ya zambarau, na rangi nyekundu, na kitani iliyosokotwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwenye upindo wa chini wa kanzu walifuma mapambo ya makomamanga ya rangi ya samawi, ya zambarau na nyekundu, na kitani safi iliyosokotwa.