Exodus 39:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha walitengeneza njuga za dhahabu, na kila baada ya komamanga walitia njuga kwenye upindo wa joho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akatengeneza vikengele vya dhahabu safi na kuviunganisha kuzunguka pindo hilo kati ya hayo makomamanga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakafanya njuga za dhahabu safi, na kuzitia hizo njuga kati ya hayo makomamanga pande zote, kati ya hayo makomamanga;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha walitengeneza njuga za dhahabu, na kila baada ya komamanga walitia njuga kwenye upindo wa joho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akatengeneza njuga za dhahabu safi na kuzishikamanisha kuzunguka pindo kati ya makomamanga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akatengeneza vikengele vya dhahabu safi na kuvishikamanisha kuzunguka pindo hilo kati ya hayo makomamanga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakafanya njuga za dhahabu safi, na kuzitia hizo njuga kati ya hayo makomamanga pande zote, kati ya hayo makomamanga;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha walitengeneza njuga za dhahabu, na kila baada ya komamanga walitia njuga kwenye upindo wa joho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakatengeneza vikengele vidogo vya dhahabu tupu, wakavitia hivyo vikengele katikati ya komamanga kuuzunguka upindo wa chini wa kanzu po pote katikati ya komamanga,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakafanya njuga za dhahabu safi, na kuzitia hizo njuga kati ya hayo makomamanga pande zote, kati ya hayo makomamanga;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha walitengeneza kengele za zahabu na kisha kila komamanga walitia kengele kwenye upindo wa koti.