Exodus 39:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha wakawafumia Aroni na wanawe vizibao vya kitani safi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia akamtengenezea Haruni na wanawe makoti ya kitani safi, kazi ya mfumaji,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakafanya hizo kanzu za nguo ya kitani nzuri ya kufumwa, kwa Haruni, na kwa wanawe
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha wakawafumia Aroni na wanawe vizibao vya kitani safi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia akamtengenezea Aroni na wanawe makoti ya kitani safi, kazi ya mfumaji,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia akamtengenezea Haruni na wanawe makoti ya kitani safi, kazi ya mfumaji,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakafanya hizo kanzu za nguo ya kitani nzuri ya kufumwa, kwa Haruni, na kwa wanawe
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha wakawafumia Aroni na wanawe vizibao vya kitani safi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamtengenezea Haroni na wanawe shati za bafta, nayo ilikuwa kazi ya fundi aliyejua kufuma kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakafanya hizo kanzu za nguo ya kitani nzuri ya kufumwa, kwa Haruni, na kwa wanawe
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha wakawafumia Haruni na wana wake vizibao vya kitani safi,