Exodus 39:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kilemba cha kitani safi, kofia za kitani safi, suruali za kitani safi iliyosokotwa,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na kilemba cha kitani safi, tepe za kichwani za kitani, na nguo za ndani za kitani iliyosokotwa vizuri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na hicho kilemba cha nguo ya kitani nzuri, na zile kofia nzuri za kitani, na hizo suruali za nguo ya kitani nzuri iliyosokotwa,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kilemba cha kitani safi, kofia za kitani safi, suruali za kitani safi iliyosokotwa,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kilemba cha kitani safi, tepe za kichwani za kitani na nguo za ndani za kitani zilizosokotwa vizuri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na kilemba cha kitani safi, tepe za kichwani za kitani, na nguo za ndani za kitani iliyosokotwa vizuri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na hicho kilemba cha nguo ya kitani nzuri, na zile kofia nzuri za kitani, na hizo suruali za nguo ya kitani nzuri iliyosokotwa,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kilemba cha kitani safi, kofia za kitani safi, suruali za kitani safi iliyosokotwa,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakatengeneza nacho kilemba na kofia ndefu za nguo za bafta na suruali nyeupe za ukonge na za nguo za bafta na za nguo za kifalme nyeusi na nyekundu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na hicho kilemba cha nguo ya kitani nzuri, na zile kofia nzuri za kitani, na hizo suruali za nguo ya kitani nzuri iliyosokotwa,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kitambaa cha kitani safi, kofia za kitani safi, makapitula za kitani safi iliyosokotwa,