Exodus 39:33 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakamletea Mose hema takatifu pamoja na vyombo vyake vyote, vikonyo vyake, mbao zake, pau zake, nguzo zake na vikalio vyake;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo wakaleta maskani ya Mungu kwa Musa: hema pamoja na vifaa vyake vyote, vibanio vyake, mihimili yake, mataruma yake, nguzo na vitako vyake;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakamletea Musa hiyo maskani; yaani Hema, na vyombo vyake vyote, vifungo vyake, na mbao zake, na mataruma yake, na nguzo zake, na matako yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakamletea Mose hema takatifu pamoja na vyombo vyake vyote, vikonyo vyake, mbao zake, pau zake, nguzo zake na vikalio vyake;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo wakaleta maskani kwa Mose: hema pamoja na vifaa vyake vyote, vibanio vyake, mihimili yake, mataruma yake, nguzo na vitako vyake;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo wakaleta maskani kwa Musa: hema pamoja na vifaa vyake vyote, vibanio vyake, mihimili yake, mataruma yake, nguzo na vitako vyake;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakamletea Musa hiyo maskani; yaani Hema, na vyombo vyake vyote, vifungo vyake, na mbao zake, na mataruma yake, na nguzo zake, na vitako yake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakamletea Mose hema takatifu pamoja na vyombo vyake vyote, vikonyo vyake, mbao zake, pau zake, nguzo zake na vikalio vyake;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakampelekea Mose hilo Kao: Hema na vyombo vyake vyote, vifungo, mbao, misunguo na nguzo zake pamoja na miguu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakamletea Musa hiyo maskani; yaani Hema, na vyombo vyake vyote, vifungo vyake, na mbao zake, na mataruma yake, na nguzo zake, na matako yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakamuletea Musa hema takatifu pamoja na vyombo vyake vyote, vifungio vyake, mbao zake, miti yake, nguzo zake na vikalio vyake;