Exodus 39:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kifuniko cha ngozi za kondoo dume na mbuzi kilichotiwa rangi nyekundu, pazia la mahali patakatifu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kifuniko cha ngozi za kondoo dume kilichotiwa rangi nyekundu, na kifuniko cha ngozi za pomboo, na pazia la kufunikia;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kifuniko chake cha ngozi za kondoo waume zilizotiwa rangi nyekundu, na kifuniko cha ngozi za pomboo, na pazia la sitara;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kifuniko cha ngozi za kondoo dume na mbuzi kilichotiwa rangi nyekundu, pazia la mahali patakatifu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kifuniko cha ngozi za kondoo waume kilichotiwa rangi nyekundu, kifuniko cha ngozi laini za wanyama, pazia la kufunikia;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kifuniko cha ngozi za kondoo dume kilichotiwa rangi nyekundu, kifuniko cha ngozi za pomboo, pazia la kufunikia;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kifuniko chake cha ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na kifuniko cha ngozi za pomboo, na pazia la sitara;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kifuniko cha ngozi za kondoo dume na mbuzi kilichotiwa rangi nyekundu, pazia la mahali patakatifu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na chandalua cha ngozi nyekundu za madume ya kondoo na chandalua cha ngozi za pomboo na pazia kubwa la Hemani,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kifuniko chake cha ngozi za kondoo waume zilizotiwa rangi nyekundu, na kifuniko cha ngozi za pomboo, na pazia la sitara;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kifuniko cha ngozi za kondoo dume na mbuzi kilichotiwa rangi nyekundu, pazia la Pahali Patakatifu,