Exodus 39:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
sanduku la agano, mipiko yake na kiti cha rehema;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sanduku la Ushuhuda pamoja na mipiko yake na kiti cha rehema,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na sanduku la ushuhuda, na miti yake, na kiti cha rehema;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
sanduku la agano, mipiko yake na kiti cha rehema;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sanduku la Ushuhuda pamoja na mipiko yake na kiti cha rehema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sanduku la Ushuhuda pamoja na mipiko yake na kiti cha rehema,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na sanduku la ushuhuda, na miti yake, na kiti cha rehema;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
sanduku la agano, mipiko yake na kiti cha rehema;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sanduku la Ushahidi pamoja na mipiko yake na Kiti cha Upozi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na sanduku la ushuhuda, na miti yake, na kiti cha rehema;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sanduku la Agano, miti yake na kiti cha rehema;