Exodus 39:36 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
meza na vyombo vyake vyote, mikate iliyowekwa mbele ya Mungu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
meza pamoja na vyombo vyake vyote, na mikate ya Wonesho;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na meza, na vyombo vyake vyote, na mikate ya wonyesho;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
meza na vyombo vyake vyote, mikate iliyowekwa mbele ya Mungu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
meza pamoja na vyombo vyake vyote na mikate ya Wonyesho;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
meza pamoja na vyombo vyake vyote na mikate ya Wonyesho;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na meza, na vyombo vyake vyote, na mikate ya wonyesho;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
meza na vyombo vyake vyote, mikate iliyowekwa mbele ya Mungu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
meza na vyombo vyake vyote na mikate ya kuwa usoni pa Bwana,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na meza, na vyombo vyake vyote, na mikate ya wonyesho;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
meza na vyombo vyake vyote, mikate iliyotolewa kwa Mungu;