Exodus 39:37 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kinara cha taa cha dhahabu safi, taa zake, vyombo vyake vyote pamoja na mafuta kwa ajili ya taa hizo;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kinara cha taa cha dhahabu safi, safu zake za taa pamoja na vifaa vyake vyote, pamoja na mafuta kwa ajili ya taa;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kinara cha taa safi, na taa zake, hizo taa za kuwekwa mahali pake, na vyombo vyake vyote, na mafuta ya taa,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kinara cha taa cha dhahabu safi, taa zake, vyombo vyake vyote pamoja na mafuta kwa ajili ya taa hizo;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kinara cha taa cha dhahabu safi, safu zake za taa pamoja na vifaa vyake vyote pamoja na mafuta kwa ajili ya taa;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kinara cha taa cha dhahabu safi, safu zake za taa pamoja na vifaa vyake vyote pamoja na mafuta kwa ajili ya taa;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kinara cha taa safi, na taa zake, hizo taa za kuwekwa mahali pake, na vyombo vyake vyote, na mafuta ya taa,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kinara cha taa cha dhahabu safi, taa zake, vyombo vyake vyote pamoja na mafuta kwa ajili ya taa hizo;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kinara cha dhahabu tupu pamoja na taa zake zilizokuwa zimekwisha kupangwa mstari mmoja, na vyombo vyake vyote na mafuta ya taa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kinara cha taa safi, na taa zake, hizo taa za kuwekwa mahali pake, na vyombo vyake vyote, na mafuta ya taa,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kinara cha taa cha zahabu safi, taa zake, vyombo vyake vyote pamoja na mafuta kwa ajili ya taa hizo;