Exodus 39:38 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
madhabahu ya dhahabu; mafuta ya kupaka, ubani wenye harufu nzuri, na pazia la mlango wa hema;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
madhabahu ya dhahabu, mafuta ya upako, uvumba wenye harufu nzuri, na pazia la ingilio la hema;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na madhabahu ya dhahabu, na mafuta ya kutiwa, na uvumba mzuri, na pazia kwa mlango wa hema;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
madhabahu ya dhahabu; mafuta ya kupaka, ubani wenye harufu nzuri, na pazia la mlango wa hema;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
madhabahu ya dhahabu, mafuta ya upako, uvumba wenye harufu nzuri na pazia la ingilio la hema;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
madhabahu ya dhahabu, mafuta ya upako, uvumba wenye harufu nzuri na pazia la ingilio la hema;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na madhabahu ya dhahabu, na mafuta ya kutiwa, na uvumba mzuri, na pazia kwa mlango wa hema;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
madhabahu ya dhahabu; mafuta ya kupaka, ubani wenye harufu nzuri, na pazia la mlango wa hema;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na meza ya dhahabu ya kuvukizia pamoja na mafuta ya kupaka na mavukizo yanukayo vizuri na pazia la hapo pa kuliingilia Hema,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na madhabahu ya dhahabu, na mafuta ya kutiwa, na uvumba mzuri, na pazia kwa mlango wa hema;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mazabahu ya zahabu; mafuta ya kupakaa, ubani wenye harufu nzuri, na pazia la mulango wa hema;