Exodus 39:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kizibao hicho kilivaliwa kwa kamba mbili mabegani zilizoshonewa kwenye ncha zake mbili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatengeneza vipande vya mabegani vya kizibau, vilivyounganishwa kwenye pembe zake mbili kwa ajili ya kufungia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakafanya na vipande vya mabegani kwa ajili yake, vilivyoungwa pamoja; viliungwa pamoja kwa ncha zake mbili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kizibao hicho kilivaliwa kwa kamba mbili mabegani zilizoshonewa kwenye ncha zake mbili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatengeneza vile vipande vya begani kwa ajili ya kisibau, vilivyokuwa vimeshikizwa kwenye pembe zake mbili, ili kiweze kufungwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatengeneza vipande vya mabegani vya kisibau, vilivyoshikizwa kwenye pembe zake mbili ili kukifungia kisibau.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakafanya na vipande vya mabegani kwa ajili yake, vilivyoungwa pamoja; viliungwa pamoja kwa ncha zake mbili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kizibao hicho kilivaliwa kwa kamba mbili mabegani zilizoshonewa kwenye ncha zake mbili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hicho kisibau kilikuwa chenye vipande viwili vilivyounganika mabegani, penye ncha zake mbili ndipo, kilipofungika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakafanya na vipande vya mabegani kwa ajili yake, vilivyoungwa pamoja; viliungwa pamoja kwa ncha zake mbili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kizibao hicho kilivaliwa kwa kamba mbili juu ya mabega zilizoshonewa kwenye incha zake mbili.