Exodus 39:40 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
vyandarua vya ua, nguzo zake na vikalio vyake; pazia la mlango wa ua, kamba zake na vigingi vyake; vyombo vyote vilivyohitajika katika huduma ya hema takatifu, yaani hema la mkutano;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mapazia ya ua pamoja na nguzo na vitako vyake, pia na pazia la ingilio la ua; kamba zake na vigingi vya hema kwa ajili ya ua; vyombo vyote vilivyohitajiwa kwa ajili ya maskani ya Mungu, lile Hema la Kukutania;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na ukuta wa nguo wa ua, na nguzo zake na matako yake, na pazia la lango la ua, na kamba zake, na vigingi vyake, na vyombo vyote vya kutumiwa katika utumishi wa maskani, kwa hiyo hema ya kukutania,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
vyandarua vya ua, nguzo zake na vikalio vyake; pazia la mlango wa ua, kamba zake na vigingi vyake; vyombo vyote vilivyohitajika katika huduma ya hema takatifu, yaani hema la mkutano;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mapazia ya ua pamoja na nguzo na vitako vyake, pia na mapazia kwa ajili ya ingilio la kwenye ua; kamba zake na vigingi vya hema kwa ajili ya ua; vyombo vyote vilivyohitajiwa kwa ajili ya maskani, Hema la Kukutania;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mapazia ya ua pamoja na nguzo na vitako vyake, pia na pazia kwa ajili ya ingilio la kwenye ua; kamba zake na vigingi vya hema kwa ajili ya ua; vyombo vyote vilivyohitajiwa kwa ajili ya maskani, Hema la Kukutania;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na ukuta wa nguo wa ua, na nguzo zake na vitako vyake, na pazia la lango la ua, na kamba zake, na vigingi vyake, na vyombo vyote vya kutumiwa katika utumishi wa maskani, kwa hiyo hema ya kukutania,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
vyandarua vya ua, nguzo zake na vikalio vyake; pazia la mlango wa ua, kamba zake na vigingi vyake; vyombo vyote vilivyohitajika katika huduma ya hema takatifu, yaani hema la mkutano;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na nguo za mapazia ya uani pamoja na nguzo zake na miguu yake, tena guo kubwa la pazia la langoni kwa ua pamoja na kamba zake na mambo zake na vyombo vyake vyote vya kutumikia katika hili Kao la Hema la Mkutano,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na ukuta wa nguo wa ua, na nguzo zake na matako yake, na pazia la lango la ua, na kamba zake, na vigingi vyake, na vyombo vyote vya kutumiwa katika utumishi wa maskani, kwa hiyo hema ya kukutania,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mapazia ya upango, nguzo zake na vikalio vyake; pazia la mulango wa upango, kamba zake na misumari yake; vyombo vyote vilivyohitajika katika kazi ya hema takatifu, ni kusema hema la mukutano;