Exodus 39:41 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na mavazi yote yaliyofumwa vizuri kabisa kwa ajili ya huduma ya mahali patakatifu, yaani mavazi matakatifu ya kuhani Aroni, na ya wanawe kwa ajili ya huduma ya ukuhani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na mavazi yaliyofumwa yanayovaliwa wakati wa huduma katika mahali patakatifu, yaani mavazi matakatifu ya kuhani Haruni na mavazi ya wanawe watakapokuwa wakihudumu katika kazi ya ukuhani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mavazi ya kazi nzuri kwa utumishi katika mahali patakatifu, na mavazi matakatifu ya Haruni kuhani, na mavazi ya wanawe, ili kutumika katika kazi ya ukuhani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na mavazi yote yaliyofumwa vizuri kabisa kwa ajili ya huduma ya mahali patakatifu, yaani mavazi matakatifu ya kuhani Aroni, na ya wanawe kwa ajili ya huduma ya ukuhani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na mavazi yaliyofumwa yanayovaliwa kwa kuhudumia mahali patakatifu, mavazi matakatifu ya kuhani Aroni na mavazi kwa ajili ya wanawe wakati wanapohudumu katika kazi ya ukuhani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na mavazi yaliyofumwa yanayovaliwa wakati wa huduma katika mahali patakatifu, yaani mavazi matakatifu ya kuhani Haruni na mavazi kwa ajili ya wanawe watakapokuwa wakihudumu katika kazi ya ukuhani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mavazi ya kazi nzuri kwa utumishi katika mahali patakatifu, na mavazi matakatifu ya Haruni kuhani, na mavazi ya wanawe, ili kutumika katika kazi ya ukuhani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na mavazi yote yaliyofumwa vizuri kabisa kwa ajili ya huduma ya mahali patakatifu, yaani mavazi matakatifu ya kuhani Aroni, na ya wanawe kwa ajili ya huduma ya ukuhani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena mavazi mazuri ya kutumikia Patakatifu, ndiyo mavazi ya mtambikaji Haroni na mavazi ya wanawe ya kufanyia kazi za utambikaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mavazi ya kazi nzuri kwa utumishi katika mahali patakatifu, na mavazi matakatifu ya Haruni kuhani, na mavazi ya wanawe, ili kutumika katika kazi ya ukuhani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na nguo zote zilizofumwa vizuri kabisa kwa ajili ya kazi ya Pahali Patakatifu, ni kusema nguo takatifu za kuhani Haruni, na za wana wake kwa ajili ya kazi za ukuhani.