Exodus 39:42 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli walifanya kila kitu kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waisraeli walikuwa wamefanya kazi yote sawasawa na vile Mwenyezi Mungu alivyokuwa amemwagiza Musa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sawasawa na yote Bwana aliyomwagiza Musa, ndivyo walivyoifanya hiyo kazi yote wana wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli walifanya kila kitu kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waisraeli walikuwa wamefanya kazi yote sawasawa na vile BWANA alivyokuwa amemwagiza Mose.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waisraeli walikuwa wamefanya kazi yote sawasawa na vile bwana alivyokuwa amemwagiza Musa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sawasawa na yote BWANA aliyomwagiza Musa, ndivyo walivyoifanya hiyo kazi yote wana wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli walifanya kila kitu kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Isiraeli waliyatengeneza yote na kuzifanya kazi hizi zote, ziwe sawasawa, kama Bwana alivyomwagiza Mose.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sawasawa na yote BWANA aliyomwagiza Musa, ndivyo walivyoifanya hiyo kazi yote wana wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli walifanya kila kitu kama vile Yawe alivyomwamuru Musa.