Exodus 39:43 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose alikagua kila kitu, akaridhika kwamba walikuwa wamefanya kila kitu kama Mwenyezi-Mungu alivyoamuru. Hivyo Mose akawabariki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akakagua kazi na kuona kuwa walikuwa wameifanya sawasawa na jinsi Mwenyezi Mungu alivyokuwa ameagiza. Kwa hiyo Musa akawabariki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akaiona hiyo kazi yote, na tazama, walikuwa wameimaliza; vile vile kama Bwana alivyoagiza, walikuwa wameifanya vivyo; basi Musa akawaombea heri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose alikagua kila kitu, akaridhika kwamba walikuwa wamefanya kila kitu kama Mwenyezi-Mungu alivyoamuru. Hivyo Mose akawabariki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akakagua kazi na kuona kuwa walikuwa wameifanya sawasawa kama vile BWANA alivyokuwa ameagiza. Kwa hiyo Mose akawabariki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akakagua kazi na kuona kuwa walikuwa wameifanya sawasawa kama vile bwana alivyokuwa ameagiza. Kwa hiyo Musa akawabariki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akaiona hiyo kazi yote, na tazama, walikuwa wameimaliza; vile vile kama BWANA alivyoagiza, walikuwa wameifanya vivyo hivyo; basi Musa akawaombea heri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose alikagua kila kitu, akaridhika kwamba walikuwa wamefanya kila kitu kama Mwenyezi-Mungu alivyoamuru. Hivyo Mose akawabariki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose alipoyatazama hayo yote, waliyoyafanya, akaona, ya kama wameyafanya kweli kuwa sawasawa, kama Bwana alivyoagiza; kwa hiyo Mose akawabariki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akaiona hiyo kazi yote, na tazama, walikuwa wameimaliza; vile vile kama BWANA alivyoagiza, walikuwa wameifanya vivyo; basi Musa akawaombea heri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akachunguza kila kitu, akaona kwamba walikuwa wamefanya kila kitu kama vile Yawe alivyoamuru. Hivyo Musa akawabariki.