Exodus 39:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha waliandaa vito vya sardoniki na kuvipanga katika vijalizo vya dhahabu; navyo vilichorwa, kama mtu achoravyo mhuri, majina kumi na mawili ya wana wa Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatengeneza vito vya shohamu vilivyowekwa katika vijalizo vya dhahabu, navyo vilichorwa na majina ya wana wa Israeli kama vile muhuri huchorwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakavitengeza vile vito vya shohamu, vilivyotiwa katika vijalizo vya dhahabu, vilivyochorwa mfano wa kuchora kwake muhuri, kwa majina ya hao wana wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha waliandaa vito vya sardoniki na kuvipanga katika vijalizo vya dhahabu; navyo vilichorwa, kama mtu achoravyo mhuri, majina kumi na mawili ya wana wa Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatengeneza vito vya shohamu, vilivyowekwa katika vijalizo vya dhahabu, navyo vilichorwa kama muhuri vikiwa na majina ya wana wa Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatengeneza vito vya shohamu vilivyowekwa katika vijalizo vya dhahabu, navyo vilichorwa na majina ya wana wa Israeli kama vile muhuri huchorwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakavitengeza vile vito vya shohamu, vilivyotiwa katika vijalizo vya dhahabu, vilivyochorwa mfano wa kuchora kwake mhuri, kwa majina ya hao wana wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha waliandaa vito vya sardoniki na kuvipanga katika vijalizo vya dhahabu; navyo vilichorwa, kama mtu achoravyo mhuri, majina kumi na mawili ya wana wa Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakatengeneza vito viwili vya oniki, wakavizungushia vikingo vya dhahabu vya kuvishika, nayo majina ya wana wa Isiraeli yakachorwa humo, kama machoro ya muhuri yanavyochorwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakavitengeza vile vito vya shohamu, vilivyotiwa katika vijalizo vya dhahabu, vilivyochorwa mfano wa kuchora kwake muhuri, kwa majina ya hao wana wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha wakatayarisha mawe ya sardoniki na kuyapanga katika kingo za zahabu. Nayo yalichorwa, kama vile mutu anavyochora muhuri, majina kumi na mawili ya wana wa Israeli.