Exodus 39:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kifuko hicho kilikuwa cha mraba, sentimita 22 kwa sentimita 22 nacho kilikunjwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kifuko hicho kilikuwa cha mraba, chenye urefu wa shibiri moja na upana wa shibiri moja, nacho kilikunjwa mara mbili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kilikuwa mraba; wakakifanya kile kifuko cha kifuani kwa kukikunja; urefu wake ulikuwa shibiri, na upana wake ulikuwa shibiri, tena kilikuwa ni cha kukunjwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kifuko hicho kilikuwa cha mraba, sentimita 22 kwa sentimita 22 nacho kilikunjwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kifuko hicho kilikuwa cha mraba, chenye urefu wa shibiri moja na upana wa shibiri moja, nacho kilikunjwa mara mbili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kifuko hicho kilikuwa cha mraba, chenye urefu wa shibiri moja na upana wa shibiri moja, nacho kilikunjwa mara mbili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kilikuwa mraba; wakakifanya kile kifuko cha kifuani kwa kukikunja; urefu wake ulikuwa shibiri, na upana wake ulikuwa shibiri, tena kilikuwa ni cha kukunjwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kifuko hicho kilikuwa cha mraba, sentimita 22 kwa sentimita 22 nacho kilikunjwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pande zake zote zilikuwa sawasawa, tena hicho kibati kilikuwa kimekunjwa kuwa kuwili; urefu wake ulikuwa shibiri, nao upana wake ulikuwa shibiri, tena kilikuwa kimekunjwa kuwa kuwili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kilikuwa mraba; wakakifanya kile kifuko cha kifuani kwa kukikunja; urefu wake ulikuwa shibiri, na upana wake ulikuwa shibiri, tena kilikuwa ni cha kukunjwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kifuko hicho kilikuwa cha muraba, sentimetre makumi mbili na mbili kwa sentimetre makumi mbili na mbili nacho kilikunjwa.