Exodus 4:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akamwambia Mungu, “Lakini Waisraeli hawataniamini wala kunisikiliza, bali watasema kuwa wewe Mwenyezi-Mungu hukunitokea.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akamjibu, “Itakuwaje wasiponiamini au kunisikiliza, waseme, ‘Mwenyezi Mungu hakukutokea’?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akajibu akasema, Lakini, tazama, hawataniamini, wala hawataisikia sauti yangu; maana watasema, Bwana hakukutokea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akamwambia Mungu, “Lakini Waisraeli hawataniamini wala kunisikiliza, bali watasema kuwa wewe Mwenyezi-Mungu hukunitokea.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akamjibu, “Itakuwaje kama hawataniamini au kunisikiliza, waseme, ‘BWANA hakukutokea’?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akamjibu, “Itakuwaje kama hawataniamini au kunisikiliza, waseme, ‘ bwana hakukutokea’?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akajibu akasema, Lakini, tazama, hawataniamini, wala hawataisikia sauti yangu; maana watasema, BWANA hakukutokea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akamwambia Mungu, “Lakini Waisraeli hawataniamini wala kunisikiliza, bali watasema kuwa wewe Mwenyezi-Mungu hukunitokea.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose akajibu kwamba: Lakini hawatanitegemea, wala hawataisikia sauti yangu, kwani watasema: Bwana hakukutokea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akajibu akasema, Lakini, tazama, hawataniamini, wala hawataisikia sauti yangu; maana watasema, BWANA hakukutokea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akamwambia Mungu: “Lakini Waisraeli hawataniamini wala kunisikiliza. Watasema kwamba wewe Yawe haukunitokea.”