Exodus 4:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akiwa bado nchini Midiani, Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Rudi Misri kwa sababu wale wote waliotaka kukuua wamekwisha kufa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Mwenyezi Mungu alikuwa amemwambia Musa huko Midiani, “Rudi Misri kwa maana watu wote waliotaka kukuua wamekufa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akamwambia Musa huko Midiani, Haya, nenda, karudi Misri; kwa kuwa wale watu wote waliokutaka uhai wako wamekwisha kufa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akiwa bado nchini Midiani, Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Rudi Misri kwa sababu wale wote waliotaka kukuua wamekwisha kufa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi BWANA alikuwa amemwambia Mose huko Midiani, “Rudi Misri kwa maana watu wote waliotaka kukuua wamekufa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi bwana alikuwa amemwambia Musa huko Midiani, “Rudi Misri kwa maana watu wote waliotaka kukuua wamekufa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akamwambia Musa huko Midiani, Haya, nenda, rudi Misri; kwa kuwa wale watu wote walioutaka uhai wako wamekwisha kufa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akiwa bado nchini Midiani, Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Rudi Misri kwa sababu wale wote waliotaka kukuua wamekwisha kufa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Bwana akamwambia Mose huko Midiani: Nenda kurudi Misri! Kwani wale watu walioitafuta roho yako wamekwisha kufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akamwambia Musa huko Midiani, Haya, nenda, karudi Misri; kwa kuwa wale watu wote waliokutaka uhai wako wamekwisha kufa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akiwa bado katika inchi ya Midiani, Yawe akamwambia: “Rudi Misri kwa sababu wale wote waliotaka kukuua wamekwisha kufa.”